Ingia / Jisajili

Aleluya - Neno Lako Ndiyo Kweli

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 257 | Umetazamwa mara 961

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 13 Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 16 Mwaka A
- Shangilio Dominika ya 21 Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 26 Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 29 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Aleluya aleluya...

Neno lako ndiyo kweli Ee Bwana Ee Bwana ututakase sisi na ile kweli (na ile kweli) ututakase sisi na ile kweli aleluya X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa