Ingia / Jisajili

Aleluya Noeli usiku

Mtunzi: Gasper Method
> Mfahamu Zaidi Gasper Method
> Tazama Nyimbo nyingine za Gasper Method

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza

Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 242

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Kuzaliwa kwa Bwana (Mkesha)
- Shangilio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Usiku)
- Shangilio Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Alfajiri)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Aleluya Noeli.

Aleluya, Aleluya, Malaika akawaambia msiogope kwa kuwa Mimi ninawaletea habari njema, ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote,maana Leo katika mji wa Daudi amezaliwa kwa ajili yenu, mwokozi ndiye Kristo Bwana. Aleluya. X2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa