Ingia / Jisajili

Aleluya Tushangile

Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI

Umepakuliwa mara 4,801 | Umetazamwa mara 8,263

Download Nota

Maoni - Toa Maoni

Joseph Mbithi Jun 11, 2020
Tafadhali naomba muupload midi ya huu wimbo

Epimark Mlugu Aloyce Dec 09, 2018
Mbarikiwe ma Admin na wote mnaowezesha kutupatia hii huduma,, nafarijika mno kupata Nota za Muziki wetu wa Kikatoliki. Ahsanteni sana. Pia nimependa maboresho ya mpangilio wa SMN hasa kwa nyimbo za Dominika inayofuatia.

Baltasar Remmy Temu Dec 02, 2018
Hongereni kwa mageuzi makubwa hivyo.

Christopher frednand Nov 14, 2018
Napenda sana huduma hii inatusaidia sisi ambao tunapenda nyimbo za watunzi tofauti tofauti hasa wale wa zamani.endeleeni kuboresha zaidi na zaidi ahsante.

Bonifas Kabondo Dec 05, 2016
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

Edward Mazuri Nov 28, 2016
Mungu awabariki

Toa Maoni yako hapa