Ingia / Jisajili

Aleluya Twimbe Aleluya Na Godfrey A Oisso

Mtunzi: G. A. Oisso
> Mfahamu Zaidi G. A. Oisso
> Tazama Nyimbo nyingine za G. A. Oisso

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Godpeace August

Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 13

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

ALELUYA TWIMBE ALELUYA

(Aleluya twimbe Aleluya×2 Mkombozi wetu kafufuka, ameshinda dhambi na mauti, Aleluya twimbe aleluya)×2.

1.Ni mshindi Yesu ni mshindi, ameshinda dhambi na mauti,Kaburini katoka mzima,ni mzima mwili nayo roho.

2.Walimtundika Msalabani, wakijuwa kwamba imekwisha,kwa mkuki wakamtoboa Mungu mtu Leo ni mzima.

3.Kwa vinanda Ngoma na Matari,njoni wote tumshangilie,kwa makofi na vigelegele,tumsifu Kristo Mfufuka.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa