Ingia / Jisajili

ALIDHARAULIWA

Mtunzi: Kanoni Francis
> Mfahamu Zaidi Kanoni Francis
> Tazama Nyimbo nyingine za Kanoni Francis

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Gasper Method Tungaraza

Umepakuliwa mara 349 | Umetazamwa mara 917

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

ALIDHARAULIWA

Alidharauliwa na kukataliwa na watu, alijeruhiwa kwa sababu ya makosa yetu, alichubuliwa kwa makosa yetu sote, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa