Ingia / Jisajili

Altareni Kwa Bwana

Mtunzi: K. Mzimwa
> Mfahamu Zaidi K. Mzimwa
> Tazama Nyimbo nyingine za K. Mzimwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Kelvin Mzimwa

Umepakuliwa mara 276 | Umetazamwa mara 756

Download Nota
Maneno ya wimbo
Mashairi. 1.Mkate wa mbinguni ni chakula roho zetu jongeeni... 2.Damu yake Bwana ni kinywaji cha roho zetu jongeeni... 3. Karibuni wote tupate shibe ya milele jongeeni.. Kiitikio; jongeeni altareni kwa Bwana tukampokee kristo ndani ya ekaristi tukampokee kristo tupate uzima wa milele
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa