Mtunzi: Frt. Dominic Mwenda
> Mfahamu Zaidi Frt. Dominic Mwenda
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Dominic Mwenda
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Dominic Mwenda
Umepakuliwa mara 952 | Umetazamwa mara 2,748
Download NotaFRT. DOMINIC MWENDA
Amani yake Bwana nawasihi tutakiane
Kwakuwa siyo yetu ni ya Baba wa mbinguni
Amani, amani ya Bwana, amani ya Bwana njoni wote tutakiane
Amani, amani ya Bwana, amani ya Bwana njoni wote tutakiane