Mtunzi: Davis Milenguko
> Tazama Nyimbo nyingine za Davis Milenguko
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Misa
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,514 | Umetazamwa mara 4,565
Download Nota Download MidiDAVIS MILENGUKO
DODOMA
Amani, amani yake Bwana Mungu ikae na wewe siku zote.
Ni amani, ni amani ya Bwana ninakupatia kaa nayo (hakika) ninakupatia amani ya Bwana kaa nayo siku zote.
Ni amani, ni amani ya Bwana ninakupatia kaa nayo (hakika) ninakupatia amani ya Bwana kaa nayo siku zote.