Mtunzi: Thadeo Mluge
> Mfahamu Zaidi Thadeo Mluge
> Tazama Nyimbo nyingine za Thadeo Mluge
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Thadeo Mluge
Umepakuliwa mara 818 | Umetazamwa mara 2,017
Download NotaAleluya aleluya Bwana Yesu amefufuka.x2
1. Mapema siku ya ta----tu kaburini
ametoka
Ni kama alivyose ----ma kafufuka yu
mzima
2. Minyororo ya sheta----ni hakika ameivu-nja
Nazo kamba za mau----ti kumfunga zimeshi-ndwa. Kafufuka. Aaleluya.
3. Utumwani katuto----a haya basi tufura-hi.
Uhuru katupati----a kwa shangwe tushangili-e. Kafufuka. Aleluya.
4. Mashahidi malai----ka ndio wameshuhudi-a.
Leso imeoneka-----na na nguo
alizofu-ngwa. Kafufuka! Aleluya!
NB. Baada ya shairi imba kiitikio moja kwa moja.