Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 5,729 | Umetazamwa mara 13,172
Download Nota Download MidiAmetamalaki ametamalaki
Adhama kajivika adhama kajivika
Bwana amejivika na kujikaza nguvu ili
(Ulimwengu usitikisike kiti chake kimkuwa thabiti tokea zamani ulimwenguni)X2
1. Miito imepaza sauti yake
Miito impepaza uvumi wake
2. Hupita sauti ya maji mengi
Hupita mawimbi ya umukayo
3. Bwana aliye juu ndiye mkuu
Na shuhuda zake ni amini sana