Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 624 | Umetazamwa mara 1,926
Download Nota Download MidiKiitikio
Mwokozi Yesu amezaliwa tuimbe twimbe aleluya, ni Yesu amezaliwa tuimbe twimbe aleluya, (amezaliwa huko bethlehemu, leo ni shangwe ulimwenguni kote ukombozi wetu umetimia tushangilie aleluya) x2
Maimbilizi:
1.Horini, manyasini ukombozi ulikopatikana ni shangwe
2.Mkombozi wa dunia amezaliwa sote tuimbe aleluya
3.Vifijo na nderemo vigelegele leo vipigwe kwa shangwe