Mtunzi: Lucian Kelvin ndundu
> Mfahamu Zaidi Lucian Kelvin ndundu
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucian Kelvin ndundu
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Lucian Kelvin
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 6
Download NotaShangwe na vigelegele leo duniani kote keanu mwokozi wetu amezaliwa njoni tumshangilie kwa ngoma zeze na kinubi kwani mwokozi wetu amezaliwa tufurahi sote mwokozi amezaliwa njoni tumshangilie Amezaliwa