Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 5,869 | Umetazamwa mara 12,336
Download Nota Download Midi AMKA AMKA
KIITIKIO: Amka amka ndugu twendeni tukapeleke vipaji kwa
Bwana.
Twende-----------ni---pamoja
Twedeni wakristu wote pamoja pamoja
tukampe Bwana Munu hii mali yake
Twendeni pamoja tukampe Bwana Mungu tulivyo andaa
1. Mazao yetu ya shamba, Ee Baba pokea
Vipaji hivi twaleta,..................................
2. Na fedha za mifukoni.......................
zikwa ni jasho letu....................
3. Kazi za mikono yetu.........................
vikiwa vipaji vyetu..........................
4. Twaleta na nyoyo zetu....................
Twaomba uzitakase.......................
5. Na vyote tulivyonavyo.....................
Japo bado ni kidogo.........................