Mtunzi: Rogers Justinian Kalumna
> Tazama Nyimbo nyingine za Rogers Justinian Kalumna
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Shanel Komba
Umepakuliwa mara 3,744 | Umetazamwa mara 9,302
Download Nota Download MidiROGERS K. J.
ST.CECILIA CHOIR
DODOMA CATHEDRAL
2005
Amri mpya nawapa (ninyi) nawapa mpendane x2
Kama vile nilivyo wapenda ninyi kama vile nilivyo wapenda ninyi mpendane vivyo hivyo x2
1. Wala hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu wa mtu utoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake
2. Kama vile Baba alivyonipenda na nilivyowapenda ninyi kaeni katika pendo kaeni katika pendo langu
3. Nimewaambia hayo ili furaha yangu iwe ndani yenu nayo furaha yenu furaha yenu itimizwe