Ingia / Jisajili

Amtegemeaye Mwanadamu

Mtunzi: Cylirus Albert Kaijage
> Mfahamu Zaidi Cylirus Albert Kaijage
> Tazama Nyimbo nyingine za Cylirus Albert Kaijage

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Cylirus Kaijage

Umepakuliwa mara 19 | Umetazamwa mara 41

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana asema hivi, amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake. na moyoni mwake amemwacha Bwana, maana atakuwa kama fukara nyikani hataona yatakapotokea mema, bali atakaa jangwani palipo ukame katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa