Ingia / Jisajili

Anakuja kwetu

Mtunzi: Fulstan Amani
> Tazama Nyimbo nyingine za Fulstan Amani

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: FULSTAN AMANI

Umepakuliwa mara 1,057 | Umetazamwa mara 2,386

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
[Anakuja kwetu sisi wanadamu(kwetu) anakuja kwetu Bwana Mfalme] X2 [Tengeneza njia yake sawazisha milima, mabonde Bwana apite] X2. 1. Tuungame dhambi zetu zote leo Bwana ajapo tuwe safi, ili aingie mioyoni mwetu tuishi na yeye siku zote. 2. Twaalikwa na Yohane Mbatizaji tusawazishe mabonde yote, tutengeneze njia ya Bwana Yesu apite ndani ya roho zetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa