Ingia / Jisajili

Anatualika Sote

Mtunzi: Abado Samwel
> Mfahamu Zaidi Abado Samwel
> Tazama Nyimbo nyingine za Abado Samwel

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Samwel Abado

Umepakuliwa mara 2,625 | Umetazamwa mara 6,165

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tazama Bwana alivyo mkarimu, anatualika sote tujongee karamuni x2
Ni karamu ya mapendo chakula cha roho zetu
Kwa waliojiandaa tujongee karamuni x2

  1. Anatualika twende tumpokee 
    Ni chakula cha uzima, uzima wa roho zetu
     
  2. Ndugu jiandae kabla hujajongea
    Yapaswa ujitakase, ndipo ule mwili wake
     
  3. Ni Yesu mwenyewe katika yale maumbo
    Katika maumbo ya mkate, mkate na divai

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa