Ingia / Jisajili

Anayekula Mwili

Mtunzi: Andalo Cristopher
> Mfahamu Zaidi Andalo Cristopher

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Michael Otieno

Umepakuliwa mara 2,146 | Umetazamwa mara 4,334

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MASHAIRI Anayekula mwili na kunywa damu yangu, hukaa ndani yangu nami ndani yake x2 Kama vile Babangu alivyonituma, mimi ni hai kwa Babangu asema Yesu. 1. Hiki ndicho chakula kinachotoka mbinguni, simama nenda ule chakula cha uzima. 2. Anayekula mwili na kunywa damu yangu, hukaa ndani yangu nami ndani yake. 3. Ombeni mtakalo kwake Baba Mungu wetu, kwa kuwa kwake kuna lisho lenye uzima. 4. Chakula kitokacho mbinguni kwa Baba Mungu, ni mwili wangu na damu twendeni tukale.

Maoni - Toa Maoni

JJMOAL Oct 14, 2022
wimbo ulitotungwa na ufahamu mzuri

Toa Maoni yako hapa