Mtunzi: William Joseph Maber-1832
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Shukrani
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 3,373 | Umetazamwa mara 8,155
Download Nota Download MidiKwa Kilatini
1. Anima Christi sanctifica me, corpus Christi salva me, Sanguis Chrsiti inebria me, aqua lateris Christi lava me
2. Passio Christi Conforta me, O bone Iesus exaude me Intratua vulneraabsconde me ne permittas me separari ate
Kwa Kiswahili.
1. Roho ya Kristu unitakase, mwili wa Kristu uniokoe, Damu ya Kristu niburudishe ma-ji ya ubavu wa Kristu yanioshe
2. Mateso ya Kristu niburudishe, Ee Yesu mwema nisikilize, katika madonda, unio-she, na usikubali nitengwe nawe
3. Na adui mwovu unikinge, saa ya kufa kwangu u-niite, uniamuru nije tukutukuze, na watakatifu milele yote
Kwa Kiingereza
1. Soul of my savior sanctify my breast, body of christ be, thou my saving guest, blood of my savior bathe me in thy tide, wash me with waters flowing from thy side
2. Strength and protection may thy passion be, o blessed Jesus hear and answer me, deep in thy wounds Lord, hide and shelter me, so shall i never, never part from thee
3. Guard and defend me from the foe malign, O blessed Jesus hear and answer me, deep in thy wounds Lord, hide and shelter me, so shall i never, never part from thee