Mtunzi: Peter.g.lulenga
> Mfahamu Zaidi Peter.g.lulenga
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter.g.lulenga
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Geophrey Lulenga
Umepakuliwa mara 696 | Umetazamwa mara 3,019
Download Nota Download MidiASANTE BWANA
KIITIKIO
Asante Bwana kwa wema wako x2,Umenilisha chakula bora,umeninywesha kinywaji safi,ahsante Bwana kwa wema wakox2.
MASHAIRI
1.Asante Bwana,kunilisha mwili wako,umeiondoa njaa rohoni mwangu.
2.Asante Bwana, kuninywesha damu yako,umeiondoa kiu rohoni mwangu.
3.Asante Bwana, kwa-mema yako yote,umenilinda Bwana nasema a-sante.
4.We-we Bwana,ni-mchungaji mwema,kiongozi bora nasema asa-nte.