Ingia / Jisajili

Asante Bwana Yatosha

Mtunzi: Sisco s manyama
> Mfahamu Zaidi Sisco s manyama
> Tazama Nyimbo nyingine za Sisco s manyama

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Sisco s Manyama

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota
Maneno ya wimbo

Asante Bwana Asante Asante Bwana Asante. Umenilinda pia hata wiki nzima kwanini nisikushukuru Mungu wangu, Asante Bwana Asante.(III.nashukuru Kwa yote ulotujalia Sina neno zaidi Bwana Asante.) Asante Asante Asante yatosha Asante.

1. Mshukuruni Bwana kwakua ni mwema kwamaana fadhili zake ni za milele.

2. Israeli na aseme na aseme yakwamba fadhili zake ni za milele.

3. Mlango wa haruni na waseme Sasa yakwamba fadhili zake ni za milele.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa