Ingia / Jisajili

ASANTE BWANA YESU

Mtunzi: Paschal Francis Mgassa
> Mfahamu Zaidi Paschal Francis Mgassa
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Francis Mgassa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Shukrani

Umepakiwa na: Mgassa Paschal

Umepakuliwa mara 484 | Umetazamwa mara 1,743

Download Nota
Maneno ya wimbo

ASANTE BWANA YESU

Asante Bwana Yesu tunakushukuru, kutulisha mwili wako, na damu yako Asante x2

1. Umetulisha, umetunywesha, asante Yesu wa Ekaristi 

2. Mema ya mbingu, tumeyapata, asante Yesu wa Ekaristi. 

3. Umetupenda, ukatufia,  asante Yesu wa Ekaristi. 

4. Èwe  fidia ya dhambi zetu,  asante Yesu wa Ekaristi. 



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa