Mtunzi: Ackrey Sissa.g
> Tazama Nyimbo nyingine za Ackrey Sissa.g
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani
Umepakiwa na: Sissa Ackrey
Umepakuliwa mara 2,633 | Umetazamwa mara 5,563
Download NotaSIKU WIKI NA MIEZI MIAKA IMEPITA MBELE YANGU X2. KWA NINI NISIMSHUKURU, MUNGU WANGU MWEZA WA YOTE, NIACHE NICHEZE IYELE IYELE, ASANTE E MUNGU WANGU.
MASHAIRI.
1. hakika siku moja kati ya nyua zako, (ni bora kuliko siku elfu na elfu)x2
2. tokea ninazaliwa mpaka siku ya leo, (mema mangapi mungu amenitendea)x2
3.Niache nimuimbie, niache nimsifu, (yeye ni mungu jan leo na milele)x2