Ingia / Jisajili

Asante Mungu

Mtunzi: Dismas Bulunja Mathias
> Mfahamu Zaidi Dismas Bulunja Mathias
> Tazama Nyimbo nyingine za Dismas Bulunja Mathias

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: DISMAS BULUNJA

Umepakuliwa mara 527 | Umetazamwa mara 1,165

Download Nota
Maneno ya wimbo
Asante nashukuru, Kwa mema ulio tutendea, Nitaimba na kusifu siku za ngu zote E Yesu wangu na shukuru kwa zawadi hii ya maisha Baraka na Neema zako umetukirimia asante Nitaimba na kumsifu Mungu kwa kinanda, nderemo vifijo, Upendo wako ni waajabu nitakutukuza milele SHAIRI 1. Kwa kinywa changu nitakushukuru na kukuimbia kwa wema wako ulo nijalia Mungu wangu. 2. Uliyonipa ni mengi siwezi kuhesabu,kwa wemawako ulo nijalia Mungu wangu 3. Nakurudishia sifa sifa na utukufu, Uhimidiwe milele milele na milele HITIMISHO Asa nte Mu ngu, asante Bwana, Mungu wetu asante Mungu wetu asante Mungu uhimidiwe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa