Ingia / Jisajili

Asante Mungu

Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Derick Nducha

Umepakuliwa mara 722 | Umetazamwa mara 2,655

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:-

AsanteMungu kwa ukarimu wako, usiokua nakikomo kwangu×2

Hakika nitakupenda daima milele, nitaishi nawewe milele namilele.

MASHAIRI:-

1.Najivuna kuwa nawe Muumba wangu Kila kitu duniani umenipa nikitawale, kwahiyo Nina haki ya kusema neno Asante.

2.Usiku na mchana waniongoza na kuniepusha na mambo yake muovu shetani, Ninashukuru Baba na tena na sema Asante.

3.Niwewe Mungu uliye niumba Mimi nikusifu kwa Kila jema unalonitendea, Mungu upewe sifa Jinalako lihimidiwe.

4.Ninakula na kushiba Ee Mungu bila ya wewe Mungu hakika siwezi chochote, Niwewe pekeyako unayeweza kunijali.

                     =   MWISHO =


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa