Mtunzi: Kisso Shija
Makundi Nyimbo: Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: Venance Dawson Idrisa Mbelwa
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download NotaNitakushukuru ee Mungu wangu, katika kusanyiko kubwa nitakusifu. Hakika nimeuona Mkono wako Mtakatifu Asante Mungu wangu kwa wema wako ×2
Solo: Asante nakushukuru Mungu wangu kwa wema wako usio na kipimo, hakika nimetambua ukuu wako asante Mungu wangu ,kwa wema wako