Ingia / Jisajili

Asante Yesu

Mtunzi: M. C. Mabogo
> Tazama Nyimbo nyingine za M. C. Mabogo

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 20,026 | Umetazamwa mara 32,421

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Emmanuel D Kulwa Oct 29, 2019
Pongezi nyingi kwa mtunzi (Mwl Mabogo) nakubali sana utunzi wako, napenda sana kufundisha nyimbo zako kwa kwaya yangu

Jimmy Jul 05, 2017
Pongezi kutoka Mombasa Kenya, kwa mtunzi na kwa website kwa ujumla..mbarikiwe nyote

bone simeo Oct 20, 2016
Mungu amjalie mtunzi huyu na pia aendelee na utume huu huu. may God bless you dear

lukia Aug 17, 2016
Pongeza mungu akubariki endelea kumwomba mungu

mrs Angelina Charles Nyamiti Aug 16, 2016
Nampongeza mwl christopher mabogo kwan amjitahdi kutunga nyimbo nzuri sana amedhihirisha kuwa ni mwl mkuu wa kwaya ya mt yuda thadei mbeya

JOHN NKUBA Jul 06, 2016
Natoa pongezi kwa mtunzi huyu,na mungu ambariki

JOHN NKUBA Jul 06, 2016
Natoa pongezi kwa mtunzi huyu,na mungu ambariki

Toa Maoni yako hapa