Ingia / Jisajili

Asifiwe Mungu Baba

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 903 | Umetazamwa mara 3,050

Download Nota
Maneno ya wimbo

ASIFIWE MUNGU BABA

//:Asifiwe Mungu Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu://

//:(Kwa sababu ametufanyizia), ametufanyizia huruma yake, ametufanyizia huruma yake://

  1. Mungu uliye Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, wewe ni Muumba, nawe ni Mwokozi, wewe ni Mfariji; wewe ndiwe Mungu mmoja.
  2. Ee Utatu Mtakatifu tufundishe kuyashika yote uliyoamuru, nasi twakukiri, wewe ndiwe Baba, wewe ndiwe Mwana, wewe ndiwe Roho Mtakatifu.

Maoni - Toa Maoni

Robanus Makwinya Jun 06, 2017
tone ya wimbo tunaonba iwekwe

Toa Maoni yako hapa