Mtunzi:
> Tazama Nyimbo nyingine za
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: Edward Challe
Umepakuliwa mara 6,053 | Umetazamwa mara 11,960
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Asifiwe Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu x2
Kwa sababu ametufanyizia huruma yake x2
Shairi
1. Mungu mmoja nafsi tatu yaani baba mwana na roho (roho) mtakatifu x2
2.Mungu baba ni muumbaji wa vitu vyote ndani ya nafsi(nafsi) nafsi tatu x2
3.Mungu mwana ni mkombozi wa dhambi zote za sisi watu (watu) duniani x2
4. Mungu roho mtakatifu ni mfariji hutoa mapaji (yote) duniani x2.