Ingia / Jisajili

ASTAHILI MWANAKONDOO

Mtunzi: G. A. Miyombo
> Tazama Nyimbo nyingine za G. A. Miyombo

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Matawi

Umepakiwa na: Andrew Miyombo

Umepakuliwa mara 2,446 | Umetazamwa mara 3,561

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Astahili mwanakondoo aliyechinjwa kuipokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima. 1. Utukufu na ukuu una yeye una yeye una yeye milele na milele. 2. Ee Mungu umpe mfalme hukumu yako hukumu yako umpe mwana wa mfalme haki yako. 3. Atawahukumu watu watu wako kwa haki na watu wako walioonewa kwa hukumu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa