Ingia / Jisajili

Astahili Mwanakondoo

Mtunzi: Leonard Tete
> Mfahamu Zaidi Leonard Tete
> Tazama Nyimbo nyingine za Leonard Tete

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Leonard Tete

Umepakuliwa mara 238 | Umetazamwa mara 328

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka A
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka B
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Astahili mwanakondoo a-liye chinjwa*2 kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima. utukufu na ukuu unayeye unayeye (yeye) hata milele milele na milele. mashairi. astahili mwa-nakondoo aliye chinjwa, kuupokea uweza na utajiri.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa