Ingia / Jisajili

Astahili Mwanakondoo

Mtunzi: K. F. Manyenye
> Mfahamu Zaidi K. F. Manyenye
> Tazama Nyimbo nyingine za K. F. Manyenye

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Kiyaya F. Manyenye

Umepakuliwa mara 2,436 | Umetazamwa mara 4,785

Download Nota
Maneno ya wimbo

Astahili mwanakondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima utukufu na baraka

Utukufu una Yeye na Ukuu una Yeye, hata milele na milele.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa