Mtunzi: Rogers Justinian Kalumna
> Tazama Nyimbo nyingine za Rogers Justinian Kalumna
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Shanel Komba
Umepakuliwa mara 6,422 | Umetazamwa mara 12,164
Download Nota Download Midi
Astahili mwanakondoo aliyechinjwa kuupokea uweza na utajiri hekima na nguvu na heshima x 2
Utukufu na ukuu unayeye milele milele na milele
Na Hukumu nayo haki vyote vyake milele milele na milele