Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 543 | Umetazamwa mara 3,106
Download Nota Download MidiATUKUZWE BABA
Atukuzwe Baba na Mwana x2
naye Roho Mtakatifu,
Kama mwanzo na sasa,
na siku zote na milele
Amina.