Ingia / Jisajili

Atukuzwe Mungu

Mtunzi: ATEBE Mark T
> Mfahamu Zaidi ATEBE Mark T
> Tazama Nyimbo nyingine za ATEBE Mark T

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: ATEBE MARK Thomas

Umepakuliwa mara 328 | Umetazamwa mara 1,181

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
ATUKUZWE MUNGU Atukuzwe Mungu Baba atukuzwe Mungu Mwana, pia atukuzwe Roho Mtakatifu Daima na Milele X2 1.Yesu mwema njoo kwangu hima uliye Mwana wa Mungu ndiwe kweli Mungu wetu Yesu njoo kwangu hima ninakutamani moyoni nipokee Yesu. 2.Bwana Yesu kweli anasema aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao ule uzima ule uzima uzima wa milele yote. 3.Bwana Yesu kweli anasema, ana heri ya milele, kwa kumpokea Kristu akiwa na moyo safi anao uzima uzima wa milele yote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa