Ingia / Jisajili

Aulaye mwili wangu

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 312 | Umetazamwa mara 1,075

Download Nota
Maneno ya wimbo
Aulaye mwili wangu nakuinywa damu yangu hukaa ndani yangu nami ndani yake aaema bwanax2. SHAIRI; 1) aulaye mwili wangu nakuinywa damu yangu anao uzima wa milele 2) njoni enyi wenye njaa nitawapa chakula, chakula chakula mbinguni mpate uzima 3)njoni enyi wenye kiu nitawapa kinywaji Cha mbinguni mpate uzima

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa