Mtunzi: Kavakule Meriack
> Mfahamu Zaidi Kavakule Meriack
> Tazama Nyimbo nyingine za Kavakule Meriack
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 13,735 | Umetazamwa mara 30,283
Download Nota Download MidiJina Maria ni jina tukufu, lafurahisha, linatutuliza;
Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba
wakisema Ave, Ave Maria; ni jina tukufu (ee ee ee) jina la Maria.
1. Maria mama wa Mungu tuombee, (tuombee kwa mwanao Yesu Kristu)x2.
2. Jina lako siku zote lapendeza (wewe uliye mnara wa Daudi)x2
3. Jina lako siku zote lapendeza (wewe uliye Malkia wa mbinguni)x2
4. Twaliimba jina lako siku zote (jina Maria linatufurahisha)x2