Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiBABA TUNAKUJA KWAKO
Baba tunakuja kwako kwenye Altare Takatifu; Twaja nao wana wako kuweka agano Takatifu
Tupokee Baba (twakuomba) tunakuja kwako na wanao; wamekuja kwako (kwa hiari) ili watimize pendo lao.
1. Wanao hawa wamejitoa kwako, uwapokee uwabariki