Ingia / Jisajili

Baba Upokee

Mtunzi: Leonard Gaga
> Mfahamu Zaidi Leonard Gaga
> Tazama Nyimbo nyingine za Leonard Gaga

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Evodius Kazoba

Umepakuliwa mara 176 | Umetazamwa mara 410

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BABA UPOKEE. Baba Upokee (pokea) vipaji vyetu (pokea) tumevipata (pokea) kwa hisani yako pokea :|| 1.Sadaka tunaleta uzibariki ni kazi ya mikono yetu wanadamu Baba Upokee kwa hisani yako pokea 2. Mazao ya mashamba tunayaleta ni kazi ya mikono yetu wanadamu Baba Upokee kwa hisani yako pokea. 3. Nalo fungu la kumi tunaleta kwako ni kazi ya mikono yetu wanadamu Baba Upokee kwa hisani yako pokea.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa