Mtunzi: Joseph Rwiza
> Mfahamu Zaidi Joseph Rwiza
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rwiza
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Matawi
Umepakiwa na: Joseph Rwiza
Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 21
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya Matawi
Baba yangu ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa, mapenzi yako yatimizwe x2
1. Yesu aliporudi akawakuta wamelala, maana macho yao yamekuwa mazito
2. Akawaacha tena akaenda kusali, akaomba mara ya tatu akisema.