Mtunzi: Maguzu,p. S
> Mfahamu Zaidi Maguzu,p. S
> Tazama Nyimbo nyingine za Maguzu,p. S
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: Alpha Claudius
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiBABA YANGU IKIWA HAIWEZEKANI
Baba (Baba) yangu ikiwa haiwezekani, kikombe hiki kiniepuke x2. Nisipokunywa, mapenzi Yako Yatimizwe x2
Mabeti.
1. Lakini si kama nitakavyo mimi, Bali kama utakavyo wewe.
2. Roho i radhi, bali mwili ni dhaifu.
3. Roho yangu ina huzuni nyingi,kiasi cha kufa.
4. Nanyi kesheni mkiomba msije mkaingia majaribuni.
5. Ee Mungu wangu unitie nguvu, katika kukufuata wewe.