Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Lawrence Nyansago
Umepakuliwa mara 8,000 | Umetazamwa mara 13,751
Download Nota Download MidiBahati iliyoje kujongea meza ya Bwana
(Ninapo ninapokula mwili wa Bwana ninapo ninapo kunywa damu ya Bwana ninapata furaha kubwa amani rohoni mwangu) X2
1. Niulapo mwili wake Bwana, niunywapo damu yake Bwana, napata furaha na amani rohoni mwangu
2. Tule mwili wake Bwana Yesu tunywe damu yake Bwana Yesu nyoyo zetu zitajawa neema na mwanga wa milele