Ingia / Jisajili

Bali Mimi Nikutazame Uso Wako

Mtunzi: EDGAR VICTOR M
> Mfahamu Zaidi EDGAR VICTOR M
> Tazama Nyimbo nyingine za EDGAR VICTOR M

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Victor Edgar

Umepakuliwa mara 350 | Umetazamwa mara 696

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 15 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bali Mimi nikutazame uso wako, katika haki niamkapo nishibishe kwa sura yako 1. Ee bwana usikie haki yangu usikie kilio changu. 2. Utege sikio lako kwa maombi yangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa