Mtunzi: Edmund C.sambaya
> Mfahamu Zaidi Edmund C.sambaya
> Tazama Nyimbo nyingine za Edmund C.sambaya
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Edmund Sambaya
Umepakuliwa mara 1,181 | Umetazamwa mara 3,832
Download Nota Download MidiKIITIKIO: Basi kwa furaha mtateja maji X2, katika visima vya wokovu katika visima vya wokovu X2
MASHAIRI: 1.Tazama Bwana ndiye wokovu wangu nitamtumaini, sitaogopa maana Bwana ni nguvu na wimbo, wimbo wangu,
2. Katika Sayuni huko nitasema mshukuruni yeye, litajeni jina lake na yatangazeni matendo yake kwa mataifa.
3.Mwimbieni ametenda maakuu na yajuulikane, haya duniani zipazeni sauti na piga kelele binti sayuni.