Ingia / Jisajili

Bikira Atachukua Mimba

Mtunzi: Japhet Mmbaga
> Mfahamu Zaidi Japhet Mmbaga
> Tazama Nyimbo nyingine za Japhet Mmbaga

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria

Umepakiwa na: JAPHET MMBAGA

Umepakuliwa mara 52 | Umetazamwa mara 104

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Maria Mtakatifu Mama wa Mungu (1 Januari)
- Antifona / Komunio Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria
- Antifona / Komunio Sherehe ya Bikira Maria mkingiwa dhambi ya asili

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama Bikira Atachukua Mimba (Kisha) Atazaa, Atazaa, Atazaa Mtoto Mwanaume (Mwanaume) Naye Atamwita Jina lake Yesu Kristo. 1. Naye Atakuwa Mkuu, Ataitwa Mwana wa Aliye juu. 2. Na Bwana Atampa Kiti cha Enzi cha Daudi Baba yake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa