Mtunzi: Ivan Reginald Kahatano
> Tazama Nyimbo nyingine za Ivan Reginald Kahatano
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 853 | Umetazamwa mara 2,549
Download NotaBikira Maria ngao yetu (Ee Mama) tunakuomba utuongoze (wanao) humu tulimo Kuna majaribu (hivyo) utuongoze Daima na Milele.
1. Utuongoze Daima tufike Mbinguni kwake Baba.
2. Mama yetu Maria utukinge na mwovu Shetani.
3. Wewe Ni mwombezi wetu na mfariji wa Roho zetu.