Mtunzi: Michael Mbughi
> Mfahamu Zaidi Michael Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mbughi
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Michael Mbughi
Umepakuliwa mara 1,715 | Umetazamwa mara 5,112
Download Nota Download MidiBikira Maria uliye muombezi wetu, tunakukimbilia,(tena), twaomba kwa mwanao, (ili) tupate furaha ya milele x 2.
Stanzas:
1. Bikira maria Mama wa shauri jema, uliye mwombezi wa Kwaya yetu.
2. Ni ua waridi linalo vutia vyote, Bikira Maria utuombee.
3. Tuige mfano wa unyenyekevu wako, Mimi ni mtumishi na nitendewe hivyo.