Ingia / Jisajili

Bila Mungu Ni Bure

Mtunzi: Mrema S. F. M.

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,676 | Umetazamwa mara 7,364

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

  1. Nilihangaika huku na huku mimi nikitafuta furaha 
    Nikifiria kwamba furaha iko kwenye mali nikifikiria kwamba furaha iko kwenye utajiri x 2

    Lakini nimegundua tena nimejua ya kwamba mali utajiri bila Mungu ni bure x 2
     
  2. ........nikitafuta amani......
     
  3. ........nikitafuta faraja.......
     
  4. ........nikitafuta upendo.....
     
  5. ........nikitafuta fadhili.........


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa