Mtunzi: F. E. Nyanza
> Tazama Nyimbo nyingine za F. E. Nyanza
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,807 | Umetazamwa mara 6,053
Download Nota Download MidiBuriani Charles Saasita umekwenda kwa Baba, Bwana alitoa, Bwana ametwaa Jina la lake lihimidiwe x 2.
Mashairi:
1. Watakatifu na Malaika wote wakupokee uifurahie raha ya milele.
2. Mungu Baba twakusihi umhurumie makosa alotenda siku za uhai wake.