Mtunzi: Pascal. F. Msassa
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 1,814 | Umetazamwa mara 4,742
Download NotaBustanini Getsemani Yesu akaanguka kifudifudi akaomba
Baba yangu ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke lakini si kama nitakavyo mimi bali utakavyo wewe x2
Akawachukua na wale wana wawili wa Zebedayo akaanza kuhuzunika na kusononeka